tena ni mengi sana hayo hata masaa 3 unakanyaga
Samahani kama ntamkwaza mtu ila natamani kama ingekua Ngwair ndo yupo hai ili apate second chance baada ya kujifunza, naamini asingerudia. I miss Ngwair already
Akamatwe afungwe mpuuzi!! Kwa nini hawasikii..