M abinti mnapenda sauti ya aina ganiiii?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
Kwa mabinti wote Akiwemo afrodenz. hivi nyinyi mnapenda mwanaume awe na sauti gani? nyembamba kama nyinyi ,nyororo, kigugumizi au sauti la besi kama mvuta bangi etc?
 
Mi napenda mwanaume awe na sauti ya KIUME haswa na sio anakuwa na sauti kama ya KIKE.. Ukfumba macho akiongea utadhan unaongea na mwanamke mwenzio.
 
yaani mmeanzisha thread sio?????

mike tyson anapendwa na wadada kwa sauti yake nyembamba ya kike
wakati yeye ni dume lisilo na mpinzani
his nickname iron killer mike lol

ha ha haaa
 
Kwa mabinti wote Akiwemo afrodenz. hivi nyinyi mnapenda mwanaume awe na sauti gani? nyembamba kama nyinyi ,nyororo, kigugumizi au sauti la besi kama mvuta bangi etc?

haya mabinti endeleeni na mada mie kikongwe napita tu kazi kwenu!
 
mama brian wewe ni kikongwe???????
how old is brian????????
 
yaani mmeanzisha thread sio?????

mike tyson anapendwa na wadada kwa sauti yake nyembamba ya kike
wakati yeye ni dume lisilo na mpinzani
his nickname iron killer mike lol

ha ha haaa

Lolz...
Sipati picha mwili wote ule afu sauti ya kike... Khaaa! anakataje apetite?...
 
tutaanza kuongeza base kwenye sauti zetu lol
 
Kwa mabinti wote Akiwemo afrodenz. hivi nyinyi mnapenda mwanaume awe na sauti gani? nyembamba kama nyinyi ,nyororo, kigugumizi au sauti la besi kama mvuta bangi etc?

dah....he he..
 
bedroom voice,sio ananisemesha ka sister wa Loreto convent anasoma tendo la pili katika matendo ya uchungu
 
Sauti ya Kiume ikoje?
ni ipi kati ya hizi: ya Nyerere, ya Mkapa, ya JK, ya Mbowe, ya Silaa, ya Obama, ya Bush, au ya Makamba?

Hebu kwa mnaojua sauti za hao watu hapo juu mniambie ipi ya kiume ipi siyo, ili nijiangalie sauti yangu iko kwenye kundi lipi hapo.
 
+kisauti cha YOYO
 
duh!obama anakimbiza mbayaa...naikubal sana ile voice yake...co hz za kna jk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…