M abinti mnapenda sauti ya aina ganiiii?

Kwanini umeamua kuchukua sample ya hawa jamaa ku represent wanaume???? Afu nshaona wanaume wanaojibu humu mada ime wa touch. Mwanaume awe na sauti kama david wakati and the like.
Afu wanaume wenye sauti nzito ni wapole sana. Wenye sauti nyembamba we! Wana kelele na wanajua kulalamika sana.

 
duh!obama anakimbiza mbayaa...naikubal sana ile voice yake...co hz za kna jk.

Ok, hebu tumuondoe Obama labda na Mkapa (manake wanakaribiana).. Nitajie kati ya waliobaki ni yupi tena mwenye sauti ya Kiume na yupi mwenye si ya kiume.
 

NK, nimejaribu kutumia hawa watu kwa kuwa ni maarufu na sauti zao wengi humu tunazijua na zinatofautiana, hivyo nadhani wengi wetu tuna sauti zinazokaribiana na mmoja kati yao. Hebu nambie basi Ukimtoa Obama na Mkapa, yupi mwenye sauti ya kiume tena kati ya waliobaki. Na yupi hana?
 
hahahaaaaaaaa umeuaaaaa
si mnamuona YOYOOO?
 
Kwa mabinti wote Akiwemo afrodenz. hivi nyinyi mnapenda mwanaume awe na sauti gani? nyembamba kama nyinyi ,nyororo, kigugumizi au sauti la besi kama mvuta bangi etc?
Mkuu umeamua kuchakachua thread ya Afrodezi teh! teh! teh!
 
hahahaaaaaaaa umeuaaaaa
si mnamuona YOYOOO?

unamuonea Yo Yo bure........sauti ya Yo Yo ni kama ile ya yule jamaa wa Boyz 2 Men....kwenye wimbo wao wa End of the Road jamaa anaongea
 
Kwa mabinti wote Akiwemo afrodenz. hivi nyinyi mnapenda mwanaume awe na sauti gani? nyembamba kama nyinyi ,nyororo, kigugumizi au sauti la besi kama mvuta bangi etc?


napenda sauti hata nikisikia naburudika na kuangaza kwa wote kama nao wamesikia hivo.
 
Mbowe na Obama wanasaut zizofaa hasa kwenye hotuba,sijui kwenye mahaba wanaongea vp..maana unaweza shangaa Obama anaongea ka manka wa kibosho...
 
piga mzinga mmoja halafu kesho yake asubuhi msikilizishie mpenzi wako sauti.halafu achague ni ipi ana inaitaka kati ya sauti ya siku zote au ile baada ya mzinga.
 
sijui kwenye mahaba wanaongea vp..maana unaweza shangaa Obama anaongea ka manka wa kibosho...[/QUOTE]

mnanivunja mbavu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…