M,anispaa zinazingua hasa dar es saalam,waalimu wapya bado hakija eleweka

mnyevushaji

Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
24
Reaction score
1
Wadau cc waalimu wapya tuliopangiwa kazi ktk mikoa mbalimbali tunaibiwa,subsistance allowance ni bei gani kwa jijij na mikoa? afu ni cku ngp?tetesi eti mwaka huu wanalipa cku 7 tu'kiasi hakijulikani ss ni waraka upi unasema hayo mana hawatuonyeshi.mwenye data atujuze
 
M2 wangu wanalipa kwa cku 7 tu halafu mpangilio ni degree 65000/= diploma 45000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…