Mkuu ebu waeleze spea za benz huko uliko. kama huna constant flow of income na pengine hata senti za kupitia mlango wa nyuma, basi usijaribu kukusa benz. inapokuja kwenye spea and maintenance, benz ni mzigo kama ugonjwa wa kansa. tulioko ughaibuni, benz zinatunyanyasa pamoja na sifa kemkem kuwa anaendesha Benz.