M- BET Badilikeni

M- BET Badilikeni

mawelewele

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
277
Reaction score
135
Hebu badilikeni,mnachelewa sana kutuma pesa zetu tukushinda mikeka,hebu igeni kwa mkeka bet.
 
hao jamaa walinichosha juzi
zawadi ya perfect 12 wameshinda watu 9
badala kila mtu wampe mil 27 wao wameigawanya hiyo mil 27 mara 9
huu wizi
hawa jamaa wamekaa kiwizi wizi tu
 
Hawa hovyo kabisa,wanachelewesha sana malipo.Ni wa kuwahama.
 
Back
Top Bottom