M-BET inanichanganya!

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Posts
7,813
Reaction score
5,514
Zaidi ya mara tatu nimekuwa nikiangalia lile yule kijana wa Arusha anataja tarehe alizo shinda ni 27 .12.2018.
Nijuavyo mm hata uwe na miaka 90 huwezi kusahau tarehe uliyoshinda bahati nasibu ya 200m.
Utasahau jinsia yako lakini sio tarehe ya kuvuta mpunga kama huo!
 
Hahahaha bongo ni full kuibiana hakuna bahati na sibu wala kituko gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…