M-bet wanakula pesa zangu kila siku


Sina cha kuongeza, pamoja mkuu.
 
kuna dawa moja hivi niliitoa sumba wanga ngoja nikudokezee.

tengeneza kibubu/au chukua kibuyu
kining'inize kwenye kona ya chumba chako
Hapo unaongelea kwa mtu mwenye ajira au njia nyingine ya kipato. When it comes kwa mtu ambaye amejiajirina M bet, formula yako inafail miserably...
 
Hongera sana, umejitambua mapema[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Alichonifanya jeonbuk leo!!!mpaka muda huyu hata sielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…