Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Ili tu kunogesha fleva za maisha, ni barua yangu ya wazi kwa uongozi wa Mall ya Mlimani City ambayo sasa ina mageti mawili ya kuingilia wateja wayaite Diamond na Ali Kiba... Hii itarahisisha kwa sie tunaotafutanaga tukikutana maeneo yale. Ukimwambia mtu niko geti la Ali Kiba, inakuwa rahisi kujua uko upande upi. Practice hii sio ngeni. Mbona bara bara 'zote' zinaitwa majina ya waheshimiwa?