M City: Geti moja liitwe Ali Kiba na Jingine Diamond...

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Ili tu kunogesha fleva za maisha, ni barua yangu ya wazi kwa uongozi wa Mall ya Mlimani City ambayo sasa ina mageti mawili ya kuingilia wateja wayaite Diamond na Ali Kiba... Hii itarahisisha kwa sie tunaotafutanaga tukikutana maeneo yale. Ukimwambia mtu niko geti la Ali Kiba, inakuwa rahisi kujua uko upande upi. Practice hii sio ngeni. Mbona bara bara 'zote' zinaitwa majina ya waheshimiwa?
 
Umetoroka darasani(prep)eeh?embu rudi darasani j3 mitihani inaanza.!
 
Acha upuuzi wewe,badala ya kujadiri na kuwaza ni kwanini thamani ya sarafu ya nchi yako inashuka,na ni jinsi gani mtajikwamua na dhahama hii,wewe unaweka upuuzi kama huu,so who are Diamond and Alikiba by the way?
 
Acha upuuzi wewe,badala ya kujadiri na kuwaza ni kwanini thamani ya sarafu ya nchi yako inashuka,na ni jinsi gani mtajikwamua na dhahama hii,wewe unaweka upuuzi kama huu,so who are Diamond and Alikiba by the way?



Wewe wacha kumtusi mtu na kumpangia cha kuongea Hili ni jamvi huru jamaa katoa wazo,Unamlazimisha kujadili dola unaijua dola wewe au unasema mara ya mwisho kutumia dola mia ni lini wewe.
Mambo ya dola wachie wenye dola huwezi kufanya lolote juu ya swala la dola au kama unataka tuzungumze swala la dola basi usiwapangie wengine cha kuonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…