M.Hussein Zimbwe Jr aongeza mkataba Simba Sc

M.Hussein Zimbwe Jr aongeza mkataba Simba Sc

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20210428-170457_Chrome.jpg
 
Iwe mwisho simba kufanya kazi na Hery mzozo kama fergusson ya man utd ilivyokataa kuafanya kazi na Mino raiola
Hapa sasa ni kusubiri matusi ya kina mzozo na kina shaffih dauda kwamba wao ndiyo wamesababisha kasaini mkataba mpya
 
Na bado wakina shafii wataibuka na kusema ajatangazwa miaka mingapi tusubir tu angeenda uko sauz
 
Iwe mwisho simba kufanya kazi na Hery mzozo kama fergusson ya man utd ilivyokataa kuafanya kazi na Mino raiola
Hapa sasa ni kusubiri matusi ya kina mzozo na kina shaffih dauda kwamba wao ndiyo wamesababisha kasaini mkataba mpya
utampangia mchezaji wakala?
 
sasa kwa nini wameacha mshahara mnono wa utopolo na ule wa south africa wanalazimisha simba? asilimia kubwa tulikuwa hatutaki abaki tena sababu ya meneja wake binafsi sijapenda
meneja janj-janja aliamua kuwatekenya mpande dau.
 
meneja janj-janja aliamua kuwatekenya mpande dau.
yeye siyo wa kwanza kutekenya lakini style yake ime backfire vibaya mnoo walidhani tungeuwakia uongozi kumbe noooo ,hata manula kwa sasa antekenya tena anatekenya pabaya mnooo maana hata kocha wa makipa amesema hataki kusikia habari za manula kwenda sudani
mkataba wake haujaisha lakini atafanyiwa kama chama au luis katikati ya mkataba anapandiwa dau tena, sasa zimbwe kupwa kujaa leo yuko juu mwezi ujao anavurunda halafu meneja wake na shaffih dauda wanakuja na style ya kutukana ya kibabe subiri uone mtekenyo wa manula wa bila vurugu utakavyojibu
 
huyu dogo kama ana akili abadili wakala
ndicho ninachowaambia watu hapa eti wanamsifu meneja kwamba kafanikisha hili jambo..subiri sasa manula atakavyoongezewa mkataba juu ya mkataba maana yeye anatekenya kijanja kwamba anahitajika teams za nje hakuna vurugu wala majibishanao kiwango anaonyesha huku anawajambisha
Dah yaani hadi nishaanza kumchukia zimbwe huu mkataba sijui hata kama hela yake ataifurahia pesa kama ya ugomvi au meneja kibaka yule ?
 
yeye siyo wa kwanza kutekenya lakini style yake ime backfire vibaya mnoo walidhani tungeuwakia uongozi kumbe noooo ,hata manula kwa sasa antekenya tena anatekenya pabaya mnooo maana hata kocha wa makipa amesema hataki kusikia habari za manula kwenda sudani
mkataba wake haujaisha lakini atafanyiwa kama chama au luis katikati ya mkataba anapandiwa dau tena, sasa zimbwe kupwa kujaa leo yuko juu mwezi ujao anavurunda halafu meneja wake na shaffih dauda wanakuja na style ya kutukana ya kibabe subiri uone mtekenyo wa manula wa bila vurugu utakavyojibu
haha hii style ya mameneja kutekenya kuna siku mchezaji ataachiwa alafu akose pakwenda.
 
nilikuwa najua JF kuna watu wenye akili pekee.
Ishawahi kutokea kwa ferguson dhidi ya wakala Raiola kaondoka utd wakafanya ujinga kumtumia tena yule wakala ona jinsi anavyoivuruga man utd na huyo pogba wake hadi mashabiki wamechoka sasa
Undhani simba wakimtaka mchezaji leo halafu waambiwe meneja ni henry mzozo watakubali?maan a huyo mchezaji asipoitwa kwa MO kunywa chai jamaa anaenenda kulalamika kwa kina shafih dauda ambao nao wanenda kumkandia CEO wa simba redioni
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Naona wengi mmechukizwa na Dogo kuongezwa mkataba, au hamtaki na yeye ale matunda ya juhudi zake? Simba ndiyo wenye makosa wangekaa nae mapema yote haya tusingeyajua na wangemalizana kimya kimya. Liwe fundisho kwa Viongozi wahuni wahuni kama kina Hans Pope ndiyo michezo yao, BIG UP Hery mzozo
 
Back
Top Bottom