Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Kwani kuna mwana ccm mwenye reasoning? Yupi hùyo? Mtaje tumjue anziq na mwenyekiti mwenyeweHuyu dogo M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha na hii tunapima kwa namna ya anavyoshare view yake kwenye social media.
Honest hata hii UV CCM imepwayaa na haina.mvuto na ni kwa sababu viongozi wake wenyewe thinking capacity ni ndogoo.
Tangu lini wahuni, wanamtandao wakahitaji mwenye thinking capacity kubwa?Huyu dogo M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha na hii tunapima kwa namna ya anavyoshare view yake kwenye social media.
Honest hata hii UV CCM imepwayaa na haina.mvuto na ni kwa sababu viongozi wake wenyewe thinking capacity ni ndogoo.
4m4 failure unategemea niniHuyu dogo M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha na hii tunapima kwa namna ya anavyoshare view yake kwenye social media.
Honest hata hii UV CCM imepwayaa na haina.mvuto na ni kwa sababu viongozi wake wenyewe thinking capacity ni ndogoo.