kachwankizi
Member
- Sep 9, 2024
- 41
- 81
Mimi ni katibu wa kikundi fulani nimejafibu kuanziaha hatua za kufanya muamala M Mkoba lakini imeshindikana tangu Jumamosi.
Nimejaribu kuongea na watoa huduma voda lkn majibu yao hayaeleweki
Kama ni suala la mtandao mbona ela ya kutumwa Mkoba inakubali lakini ya kutoka haifanikiwi!!?
Toeni majibu ya kueleweka la sivyo waliokwisha ng'atwa na nyoka watakuwa na wasiwasi mkubwa.