kachwankizi
Member
- Sep 9, 2024
- 41
- 81
M koba ni kimeo, mnaweza kutoa kwa wiki 2 bila mafanikio
Tumepata shida sana kiongozi.Watoa huduma voda hawana majibu.Wanakwambia jaribu Tena.Watu waliweka akiba ya sikukuu.Hali ni tete.M koba ni kimeo, mnaweza kutoa kwa wiki 2 bila mafanikio
Vodacom Tanzania toeni ufafanuziMimi ni katibu wa kikundi fulani nimejafibu kuanziaha hatua za kufanya muamala M Mkoba lakini imeshindikana tangu Jumamosi.
Nimejaribu kuongea na watoa huduma voda lkn majibu yao hayaeleweki
Kama ni suala la mtandao mbona ela ya kutumwa Mkoba inakubali lakini ya kutoka haifanikiwi!!?
Toeni majibu ya kueleweka la sivyo waliokwisha ng'atwa na nyoka watakuwa na wasiwasi mkubwa.
Mimi ni katibu wa kikundi fulani nimejafibu kuanziaha hatua za kufanya muamala M Mkoba lakini imeshindikana tangu Jumamosi.
Nimejaribu kuongea na watoa huduma voda lkn majibu yao hayaeleweki
Kama ni suala la mtandao mbona ela ya kutumwa Mkoba inakubali lakini ya kutoka haifanikiwi!!?
Toeni majibu ya kueleweka la sivyo waliokwisha ng'atwa na nyoka watakuwa na wasiwasi mkubwa.
M pesa iliwahi kuniaibisha hotelini, nimekula nikitegemea kwa kulipa kwa lipa namba. Ilinigomea nikakaa masaa 2 ili niweze kulipa.Usitegemee MPesa na Vodacom kwenye deadlines, utakuja kuwekwa lockup, juzi imenifanya nionekane muhuni!
DuuhM pesq iliwahi kuniaibisha hotelini, nimekula nikitegea kwa kulipa kwa lipa namba. Ilinigomea nikakaa madaa 2 ili niweze kulipa.
M pesq iliwahi kuniaibisha hotelini, nimekula nikitegea kwa kulipa kwa lipa namba. Ilinigomea nikakaa madaa 2 ili niweze kulipa.
Tumepata shida s
Tumepata shida sana kiongozi.Watoa huduma voda hawana majibu.Wanakwambia jaribu Tena.Watu waliweka akiba ya sikukuu.Hali ni tete.
Kuna wakati kuna ugumu kwani hujui ulio nao wataongeza vinywaji au vyakulaMimi Hotelin uwa niki sha order tu nauliza bei Nalipa hata kabla chakula hakijaja
Kuna wakati kuna ugumu kwani hujui ulio nao wataongeza vinywaji au vyakula
Ni jambo jema sana.I always master my budget na huwa kwa pesa yangu no over spending, hapa huwa sina mchezo, order ikipita naweza ongeza maji basi!
Ni jambo jema sana.
Lakini kwangu ni tofauti.
Nikikualika chakula maana yake nimejipanga kukabiliana na matokeo.
Sitakubana chakula
Wanawatunzia pesa za shule ili Januaryi msije kudai ianzishwe M -Mkoba SongeshaMimi ni katibu wa kikundi fulani nimejafibu kuanziaha hatua za kufanya muamala M Mkoba lakini imeshindikana tangu Jumamosi.
Nimejaribu kuongea na watoa huduma voda lkn majibu yao hayaeleweki
Kama ni suala la mtandao mbona ela ya kutumwa Mkoba inakubali lakini ya kutoka haifanikiwi!!?
Toeni majibu ya kueleweka la sivyo waliokwisha ng'atwa na nyoka watakuwa na wasiwasi mkubwa.
Wanawatunzia pesa za shule ili Januaryi msije kudai ianzishwe M -Mkoba Songesh
Ahahahahaha!!!Hahaha!