M-Pawa inakupa mkopo kwa namna gani?

M-Pawa inakupa mkopo kwa namna gani?

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Kwa wale ambao wameshaanza kutumia huduma hii naomba mtujuze tafadhali,ni kiasi gani unapaswa kuweka akiba ili ustahili kupata mkopo?

Na mengine ambayo ni muhimu kujua kuhusu huduma hii.

Shukrani wakuu
 
Habari wana Jf

Kuna uzi ulianzishwa wakueka akiba na M-PAWA, katika Jukwaa hili nautafuta unaelezea namna ya kuunda kikundi kila mtu anaeka akiba kwenye laini yake ya VodaCom then mwisho wa siku wanachama wote wanagawana

Ambae anaukumbuka ule uzi aweke link

Mod help me............plz [emoji119][emoji119]
 
Mod nipeni msaada wa kuuutafuta ule uzi


Naona mmeamisha uzi wangu

Help me Mod
 
Back
Top Bottom