GOODFRIEND
New Member
- Aug 30, 2014
- 4
- 1
Wadau m-pawa nimeisikia ikitangazwa sana kuwa itatusaidia sana wajasiriamali hasa wadogo. Kwa
kuwa tukiweka hela yetu itakuwa inazaa faida. Naomba mwenye uelewa wa namna faida inavyopatikana anisaidie nisije kuwa napishana na fursa nzuri ya biashara?