Naamin humu ndo kisima cha elim, taarifa na maarifa. Labda ndo maana Maxcens kapata tuzo. Juzi nimefanya malipo ya online, ali express kupitia m pesa mastercard. Pesa ilikatwa lakin sikupewa mwendelezo wowote. Shipping ni kulipia lakin bila tracking number. Je, nakuwa wa kusubiri tu au ilitakiwa nijibiwe confirmation!