Hakuna uwezekano huo mkuu.
jamani naamini teknolojia inakua siku hadi siku...........Mi nataka kujua kama kunauwezekano wa kutumia computer yangu kuwa narusha hela kwenye m-pesa, air tel mone na tigo pesa. kuliko kuendelea kutumia simu kuwarushia wateja wangu. yeyote anaeijua technologia hiyo anisaidie please......
Hakuna uwezekano huo mkuu.
Ukiwa wakala mdogo wa Mpesa huwezi kutumia Computer unless unatumia modem ya Voda. Ukiwa na modem unatuma na kupokea MPESA kwa urahisi. Try and see.mi nipo arusha,mbona naona side corner wanatumia pc?so inawezekana!sijauliza ila nadhani zile pc wamepewa na voda,au hata programm!mi nimeanza m-pesa wakala nikipata details zaidi nitakuambia!
chariii wangu niatshukuru kama utafanya kuulizia hata leo.........mi nipo arusha,mbona naona side corner wanatumia pc?so inawezekana!sijauliza ila nadhani zile pc wamepewa na voda,au hata programm!mi nimeanza m-pesa wakala nikipata details zaidi nitakuambia!
Hongera sana inaonyesha kuwa wewe ni mjasiriamali mzuri kwani unatafuta ubunifu kuongeza tija katika kazi yako mm nadhani hakuna kinchoshindikana kwa technology ya leo + entrepreneurship km si leo hh kesho utafanikisha jaribu pia jukwaa la technology na kutunia simu zinazo ingiliana na computor au moderm km voda ya hivi karibuni sina uhakika nahisi utafaulu..
inawezekana! HUNA HAJA YA SIMU CHUKUA MODERM yako weka connect kama kawa, ila bado tataizo litakuja kuwa huwezi kukonect moderm zaidi ya moja kwenye komputer moja,, un less uongeze Network CARD, nUNUAA NETWORK CARD ZINGINE MBILI/TATU INATEGEMEA UNATAKA MITANDA MINGAPAI!
KILA LAHERI KAKA!
Kwa maelezo zaidi ni PM!