kiukweli voda na tigo hawatoi lain kwa mawakala wapya hila fanya mpango wakumtafuta aggregator wa voda hanaweza kuwa na lain ambazo hazifanyi kazi huwa wanataratibu yakuziswamp na kuwapa wateja wenye kuzihitaji so unaweza kunicheki nikakuhelp 0712145660 au nenda super star karibu nakona yakuelekea sinza makaburini kuna jengo moja jeupe kabla ujakata kona yakwenda kuna wakala wa mpesa pale ingia utasaidiwa ulizia ofisi za impact promotion limited is one of vodacom aggregator wa mpesa