Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
mimi nilishakula vichwa vingi saaaana kwa njia hii
ujue inakuwaje
cheki hii
mpesa man: upo smile
smile :nipo my dear
mpesa man:ushakula baby wangu
smile fix: nimefulia dia leo sili
mpesa man:mmmh baby wangu usile na mimi nipo nikufate?
smile: hapana boss yupo siruhusiwi kutoka leo
mpesaman: basi nakutumia hela kidogo ya lunch.
smile:usjali dear usijitese nipo ok
mpesa man:nimekutumia laki moja dear laki si pesa mbonaa?
smile:mmmh thax anyway bye dia
idumu milele huduma ya mpesa na tigo pesa
The Boss aka Denzel..
Nadhani hizi huduma zimeathiri sana mahusiano..mimi naona mtu kama anakupenda kwa dhati hawezi kukuomba omba pesa kila saa unless ni shida genuine..mjini watu wanaishi kwa mahesabu siku hizi!
Kwa namna nyingine imerahisisha kutuma huduma ya pesa kwa wanandoa waliopo mbali mbali kama kutumiana pesa haraka kwa shughuli za kifamilia&maendeleo.
Nakutumia sasa hivi........MY LOVE IS YOUR LOVE.Wewe wewe hebu ni recharge kwa tigo pesa la aziz, sipokei salam mpaka unirecharge.
Kinga'sti sweetie
mimi simu yangu ni sasa tel
na benki yangu ni daresaalm community bank....
sijui nikutumie vipi honey ?lol
Nakutumia sasa hivi........MY LOVE IS YOUR LOVE.
Hahahaha!! Hiyo ni njia ya kunihamasisha ili nitume hizo hela fasta..Am waiting ...........
Hapo kwenye red very very true.
nikupe desa lingine?hii nayo gia, filled for future reference, thumbs up smile.
Hahahaha!! Hiyo ni njia ya kunihamasisha ili nitume hizo hela fasta..
achana na boss huyo.inaelekea ni bahili sana.ukiona mwanaume anapiga bajeti hadi nyumba ndogo hutomuweza.acha tuendelee na ma mpesa wetu yeye akibana wenzie wanaachia,and the life goes on? Register no yako mpesa au tigo pesa na uwe na urafiki na watu walio registered uinjoy maishabinafsi sijawahi kutumia ila kwa ninavyosikia nadhani faida ni nyingi zaidi ya hasara kama zipo. Na kama hasara zipo nadhani zitakua za kujitakia zaidi maana hamna anaechunwa kwa lazima, mtu anatoa mwenyewe hata kama ananung'unika ndani kwa ndani.
Binafsi sijawahi kutumia ila kwa ninavyosikia nadhani faida ni nyingi zaidi ya hasara kama zipo. Na kama hasara zipo nadhani zitakua za kujitakia zaidi maana hamna anaechunwa kwa lazima, mtu anatoa mwenyewe hata kama ananung'unika ndani kwa ndani.
bora zifutwe tu, watu hatupumui sasahivi, imekuwa kero sana, hatuna pakukwepea aisee
Yaani acha tu, hapa nilipo sasa hivi kuna mtu kanishtukiza eti nimtumie hela kapungukiwa na elfu 30 ya kusuka, namtafutia jibu la kimjibu hapa, wadada wanafikiri pesa hazina mipango mda wote, enzi hizo hakuna huu ujinga ilikuwa raha kweli, ngoja nimjibu mtandao haupatikani nazani wameblock my tigo pesa account
KILA KITU KINAPOAANZA KINAKUWA KWA FAIDA
hata simu ni kwa faida but still ndoa nyingi zimevunjika
au kuingia kwenye migogoro sababu ya simu