gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 292
ongezea iwe point ya 7 hapo na id theft ipi hiyo?? dats ma idea roughly speakin....kama ni id ya bank a/c yangu....still itakuwa useless cz password naijua mwenyewe....in case wakiniibia simu hawatoweza fanya nayo chochote !!
kuna software za kuiba mpaka password
kuna software za kuiba mpaka password
Mi napenda kwa kununua umeme,kulipa bili,na kusaidia panapobidi ndugu,jamaa,na marafiki....
Wanafunzi wa yuo na sponsors kulipa fees za aina mbalimbali..
Ila na makampuni ya usafirishaji nayo,ndege,meli/boti,mabasi ya mikoani.. Isiwe lazima kwenda ofisini kufanya booking..
Imewanufaisha sana wanafunzi wa vyuo vikuu mabinti...
Inaonekana we ni provider mzuri kwa hao girls wa versity