Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakala wa nini?Jamani mwenye ofisi na anatafuta wakala mi nipo tayari kufanya hiyo kazi, naomba msaada wenu wa ajira wakulu!
Nafasi ya wakala katika M-pesa na Tigo pesa kwa mfanya biashara mdogo walau One million or laki tano kwa mtu mwenye mtaji mdogo saana na kutegemea mazingira ulotegesha kama yanawateja wengi ama lah! But hizo biashara kwa hakika kabisa ni bora ukawa na mtaji angalau from 7-15&20 million ili kufanya biashara inayoeleweka na kuweza pata commission kubwa toka kwenye kampuni husika.... Take note kua commission ya M-pesa ipo juu kuliko Tigo pesa na pia the former inawateja wengi kuliko the later....
Swali: kama una uwezo wa kuwa wakala... Unaomba kazi ya nini? Ama sijakuelewa?? Ama hujaelewa kua wakala ni nini??
commission inatolewa kwa rate zipi ili tujue zaidiNafasi ya wakala katika M-pesa na Tigo pesa kwa mfanya biashara mdogo walau One million or laki tano kwa mtu mwenye mtaji mdogo saana na kutegemea mazingira ulotegesha kama yanawateja wengi ama lah! But hizo biashara kwa hakika kabisa ni bora ukawa na mtaji angalau from 7-15&20 million ili kufanya biashara inayoeleweka na kuweza pata commission kubwa toka kwenye kampuni husika.... Take note kua commission ya M-pesa ipo juu kuliko Tigo pesa na pia the former inawateja wengi kuliko the later....
Swali: kama una uwezo wa kuwa wakala... Unaomba kazi ya nini? Ama sijakuelewa?? Ama hujaelewa kua wakala ni nini??