Aha sawa mkuu sasa apo kwenye rejareja utatosha kweliBinafsi naona bora REJAREJA maana huo mtaji una afadhali.
M PESA ukiwa na kamtaji kama hako utafulia mapema
Ooh sawa mkuu Wang ntafanya ivo lkn 700k itatosha kwel mkuuMkuu kwa maoni yangu anza na rejareja afu baadae uje uiongeze hio mpesa hapo dukani, hakika utawavuta wateja sana dukani kwako. Mimi nimefanya hivo nimeyaona matunda yakeView attachment 1384404
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel kabsa wazee mtusaidie cc vijan binafs nko chuo 2yr cna uzoef kabsa zaid ya kushka penDah yan hata mm nina wazo kama lako mkuu, hebu tupeane uzoefu na maarifa wazee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hii 700k haihusiani na kodi ya frem inatosha kuanzia mkuu, katika duka la rejareja vitu vyenye dhamani kubwa ni vile ambavyo vinakaa chini (sukari 120k kg 50, mchele 160k kg 100, unga 70k kg 50, maharage etc) kwa vitu vya kupanga kwenye mashelf havina bei kubwa
Aha sante sana mkuu na hii ni mtaji tu sio operating capital...enx San kwa muda wako buddahKama hii 700k haihusiani na kodi ya frem inatosha kuanzia mkuu, katika duka la rejareja vitu vyenye dhamani kubwa ni vile ambavyo vinakaa chini (sukari 120k kg 50, mchele 160k kg 100, unga 70k kg 50, maharage etc) kwa vitu vya kupanga kwenye mashelf havina bei kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri safi kabisa mkuu!Kiukweli duka la rejareja lina faida ndogo esp ukiwa na mtaji mdogo kama huo. Na linahitaji umakini wa hali ya juu. Bidhaa nyingi sina faida ndogo bila kutegemea mzunguko wake. mostly faida yake ni Tsh 200-500 kutegemea na bidhaa.
Lets say unanunua kilo 50 ya sukari unapata faida ya Tsh200-500 kwa kila kilo ukaweza kuchukua muda wa siku 15-30 kulingana na eneo uliopo. Hapo utagundua faida ya (200*50=10000 hadi 500*50=25000) hapo ukila hata 5000 tu hutajiongeza kimtaji kwa kuwa hilo kilo 50 ya sukari inachukua muda kidogo kutoka n mengi hutokea in between ukiwa na mkono wa kuchukua mtaji utakufa au utadumaa (kutokuwa mkubwa).
Sokila senti inayojizalisha ni muhimu kuiweka kimtaji either kwa kununua bidhaa nyingine ili mtaji ukue mfano lets say leo mauzo yamekuwa 25000 kwa bidhaa za mauzo. Nenda kanunua bidhaa zingine ambazo hakuna dukani kuliko kukaa na hiyo pesa mkononi kuila ni rahisi.
Niliwahi kufanya hii biashara bila research ya kutosha ikafa pamoja ya kuwa niliibiwa. Nakushauri ukitaka kwa mtaji huo weka tigopesa ndio ambayo inatoka zaidi mtaji wa angalau 500,000 na duka la mtaji wa angalau 500,000 utakuwa unajitegemea wenyewe esp ukiwa uswahili.
Uswahilini wengi hawa save pesa ni hand to mouth kwa hiyo kuja dukani ni lazima kwa vitu vidogo dogo kama mafuta ya chakula, ya taa, sabuni za unga, unga sembe, unga ngano, chumvi, mchele, sukari nk wakati huo huo unajiongeza kwa vingine kama mafuta ya kujipaka n mengine.
Ukiweka na hiyo tigopesa hapo hapo mtu anakuja kutoa hela kwako n kununua bidhaa hapo hapo. Na wengi itakuwa ni kutoa helq ndogo elfu 10-50 mzunguko wake ni mkubwa uswahilini.
Nasema uswahilini cz sioni kuwa na mtaji wa hela uliyosema kwa eneo la kishua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu,
Naombeni msaada, nifungue kipi kati ya M-Pesa na duka la rejareja? Mtaji wangu ni 700k
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kwel kabisa mkuu enx kwa msaada wako enx kwa time ako mekuelewa mkuu...na je vip kuusu kuuza nguo za dukani then flame nnayo alinipa mzee Wang ikiwa mbov then kairekebisha vzr tu so haina shid then nko mbea Kyela border ....then nko IFM 2yr mewaza pia nguo cuz zinaesabika kwa urais il nimuweke mtu faida tutalipana then nkimaliza chuo naenda kukaa mwenyewe apo VP mkuuKiukweli duka la rejareja lina faida ndogo esp ukiwa na mtaji mdogo kama huo. Na linahitaji umakini wa hali ya juu. Bidhaa nyingi sina faida ndogo bila kutegemea mzunguko wake. mostly faida yake ni Tsh 200-500 kutegemea na bidhaa.
Lets say unanunua kilo 50 ya sukari unapata faida ya Tsh200-500 kwa kila kilo ukaweza kuchukua muda wa siku 15-30 kulingana na eneo uliopo. Hapo utagundua faida ya (200*50=10000 hadi 500*50=25000) hapo ukila hata 5000 tu hutajiongeza kimtaji kwa kuwa hilo kilo 50 ya sukari inachukua muda kidogo kutoka n mengi hutokea in between ukiwa na mkono wa kuchukua mtaji utakufa au utadumaa (kutokuwa mkubwa).
Sokila senti inayojizalisha ni muhimu kuiweka kimtaji either kwa kununua bidhaa nyingine ili mtaji ukue mfano lets say leo mauzo yamekuwa 25000 kwa bidhaa za mauzo. Nenda kanunua bidhaa zingine ambazo hakuna dukani kuliko kukaa na hiyo pesa mkononi kuila ni rahisi.
Niliwahi kufanya hii biashara bila research ya kutosha ikafa pamoja ya kuwa niliibiwa. Nakushauri ukitaka kwa mtaji huo weka tigopesa ndio ambayo inatoka zaidi mtaji wa angalau 500,000 na duka la mtaji wa angalau 500,000 utakuwa unajitegemea wenyewe esp ukiwa uswahili.
Uswahilini wengi hawa save pesa ni hand to mouth kwa hiyo kuja dukani ni lazima kwa vitu vidogo dogo kama mafuta ya chakula, ya taa, sabuni za unga, unga sembe, unga ngano, chumvi, mchele, sukari nk wakati huo huo unajiongeza kwa vingine kama mafuta ya kujipaka n mengine.
Ukiweka na hiyo tigopesa hapo hapo mtu anakuja kutoa hela kwako n kununua bidhaa hapo hapo. Na wengi itakuwa ni kutoa helq ndogo elfu 10-50 mzunguko wake ni mkubwa uswahilini.
Nasema uswahilini cz sioni kuwa na mtaji wa hela uliyosema kwa eneo la kishua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah bongo bhnUnataka kufungua duka kwa laki 7 mkuu?ama ni genge?mkuu njoo nikuuzile IPhone 8 used kwa laki 7[emoji23]
Sent using IPhone X
Dogo umeshakuwa mtu mzima acha kuandika kihuni. Enx maana yake nini au kuna batani zinakosekana kwenye simu yako. Kuna watu wazima wanapita humu wakikutana na uandishi huo wanapotezea wanaona kama hujitambui. Kumbuka watu hatujuani humu ila unachokiandika ndicho kinachokuelezea ulivyo hivyo kuwa serious,mwaka wa pili chuo wewe ni mtu mzima acha utotoDah kwel kabisa mkuu enx kwa msaada wako enx kwa time ako mekuelewa mkuu...na je vip kuusu kuuza nguo za dukani then flame nnayo alinipa mzee Wang ikiwa mbov then kairekebisha vzr tu so haina shid then nko mbea Kyela border ....then nko IFM 2yr mewaza pia nguo cuz zinaesabika kwa urais il nimuweke mtu faida tutalipana then nkimaliza chuo naenda kukaa mwenyewe apo VP mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu bahat mbayaDogo umeshakuwa mtu mzima acha kuandika kihuni. Enx maana yake nini au kuna batani zinakosekana kwenye simu yako. Kuna watu wazima wanapita humu wakikutana na uandishi huo wanapotezea wanaona kama hujitambui. Kumbuka watu hatujuani humu ila unachokiandika ndicho kinachokuelezea ulivyo hivyo kuwa serious,mwaka wa pili chuo wewe ni mtu mzima acha utoto
1. Tafuta frem ambayo kodi yake haizidi 50,000 lipia miezi mitatu kwanza (3×50,000=150,000)
Unataka kufungua duka kwa laki 7 mkuu?ama ni genge?mkuu njoo nikuuzile IPhone 8 used kwa laki 7[emoji23]
Sent using IPhone X
Ahsante sana mkuu kwa muda wako na msaada wako ntajitaid kufanya ivo mwenyezi mungu atujalie.Then ntaleta mrejesho pia1. Tafuta frem ambayo kodi yake haizidi 50,000 lipia miezi mitatu kwanza (3×50,000=150,000)
2. Tafuta mzani (100,000-120,000) ukipata mzani uliotumika kwa bei pungufu ya hiyo itakuwa vizuri zaidi
3. Tafuta meza ndogo ya kuanzia (ya kuwekea mzani) bei isizidi 50000, kama utaweza nunua mbao utengeneze mwenyewe
4. Anza kununua vitu muhimu ambavyo vinatoka haraka
- Unga dona/sembe kiroba 25kg@ 35000-40000 (Ukinunua mahindi na kusaga mwenyewe mashineni utapata faida zaidi)
-Sukari kiroba cha kg25@56,000
-Maharage ya njano 20kg@2000-2500 (50000)
-Mchele kg20@1800-2000 (40,000)
-Mafuta ya kula kidoo kidogo (Lita 10) bei nadhani haizidi 30000
- Vitu vingine ni kama sabuni ya kipande mche (jamaa) chukua hata mitano@2000 (10000), sabuni ya unga ya kupima kidoo 1@bei nadhani haizidi 30000, Vibiriti, Chumvi n.k
Weka huduma ya kuchaji simu itakusaidia kupata hela ya kula mchana, pesa ya kodi ya frem na hata nauli. Simu kuchaji ni sh300, ukiweza kuchajisha simu kuanzia 15 mpaka 20 kwa siku, kila siku utakuwa unaondoka na 5000+
Hapa tafuta kile kidude cha kuchajia chenye sehemu nyingi za kuchomeka USB (zipo zenye vitundu mpaka 24) pamoja na usb zenyewe,kuliko kununua chaja moja moja
Chuo gani?Kwel kabsa wazee mtusaidie cc vijan binafs nko chuo 2yr cna uzoef kabsa zaid ya kushka pen
Sent using Jamii Forums mobile app