Ndo tatizo letu maniga...mtaji ulioanza nao wewe si lazima ue sawa na yule....sina iyo 20M nkaibe auWatu mnamaneno sana, badala ya kumpa ushauri mzuri wewe unasema anunue iphone tena used!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3516]Dah kwel kabisa mkuu enx kwa msaada wako enx kwa time ako mekuelewa mkuu...na je vip kuusu kuuza nguo za dukani then flame nnayo alinipa mzee Wang ikiwa mbov then kairekebisha vzr tu so haina shid then nko mbea Kyela border ....then nko IFM 2yr mewaza pia nguo cuz zinaesabika kwa urais il nimuweke mtu faida tutalipana then nkimaliza chuo naenda kukaa mwenyewe apo VP mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasoma ZAYON[emoji3516]
HUU MAANDIKO HAULANDANI NA MTU ALIYEKO CHUONI HUU.
AU MODS MNASEMAJE KUHUSU HUU MWANDIKO?
Sent using Jamii Forums mobile app
Enx ndiyo nini?Dah kwel kabisa mkuu enx kwa msaada wako enx kwa time ako mekuelewa mkuu...na je vip kuusu kuuza nguo za dukani then flame nnayo alinipa mzee Wang ikiwa mbov then kairekebisha vzr tu so haina shid then nko mbea Kyela border ....then nko IFM 2yr mewaza pia nguo cuz zinaesabika kwa urais il nimuweke mtu faida tutalipana then nkimaliza chuo naenda kukaa mwenyewe apo VP mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app