Natumaini Vodacom watakuwa wamemfukuza kazi mtu yule au wale wote waliohusika kuchota fedha zinazotumwa kupitia Western Union. Za kwangu hatimaye wamemtumia mhusika baada ya kulalamika makao makuu ya WU. Ningependa kusikia Voda wamejisafisha.