Sijui kama hata unaweza kumshauri mtu biashara ya genge la nyanya pole sana! mkuu inalipa suala ni kutafuta center yenye mzunguko mkubwa wa watu kama mwenge ,magomeni,kariakoo itakulipa na pia mtaji wako ndo utakaokuwezesha ww kupata faida kubwa[/QU.......,.......ASANTE KAKA LAKN CHANGAMOTO GANI NAWEZA NIKAZIPATA WAKAT WAKUENDESHA HII SHUGHUL?
Changamoto kubwa kwny hii biashara ni:
usalama dhidi ya pesa feki-hapa jaribu kuwa makini sana unapopokea pesa,uzikague vizuri au kama huwezi tafuta UV-tube light,zipo kkoo kwenye maduka ya vifaa vya umeme.
Utapeli-usiruhusu mteja ashike simu yako ya biashara,wengi wameibiwa kwa jinsi hii,kama mteja anataka kuweka pesa kwa simu yake mpe karatasi akuandikie namba.
Kurusha pesa-hairuhusiwi kuhudumia akaunti ambayo haipo hapo mbele yako,usiamini mtu anayesema simu yake ameacha nyumbani,hii itasababisha upigwe fine na mtandao husika.
Zingine wadau wengine watakujuza.