Mkuu kama Ni kulipa inawalipa wenye Kampuni yaani VODACOM, Make wao ndo controle na ndo wamiliki wa Idea so wengine ni kufanya tu kwa kufuata yale wanayo waagiza[/QU...una.maanisha hailipi kwa hawa mawakala wa m-pesa
Kwa wale wazoefu wa m.pesa naombeni ushauli...nataka kujihusisha na biashara ya m-pesa ...je ina lipa? Kama inalipa ni kwa kiasi gan?principal gan zinatakiwa ili ilipe zaid na zaid? Na changamoto gani unaweza kuzipata wakat wakuendesha hii huduma?..#NAOMBENI MSAADA JAMANI#
Mkuu kama Ni kulipa inawalipa wenye Kampuni yaani VODACOM, Make wao ndo controle na ndo wamiliki wa Idea so wengine ni kufanya tu kwa kufuata yale wanayo waagiza
Tafuta eneo lenye mzunguko wa watu,itakulipa vizuri.[/QU.....ASANTE SANA
Sijui kama hata unaweza kumshauri mtu biashara ya genge la nyanya pole sana! mkuu inalipa suala ni kutafuta center yenye mzunguko mkubwa wa watu kama mwenge ,magomeni,kariakoo itakulipa na pia mtaji wako ndo utakaokuwezesha ww kupata faida kubwa[/QU.......,.......ASANTE KAKA LAKN CHANGAMOTO GANI NAWEZA NIKAZIPATA WAKAT WAKUENDESHA HII SHUGHUL?

Changamoto kubwa kwny hii biashara ni:
usalama dhidi ya pesa feki-hapa jaribu kuwa makini sana unapopokea pesa,uzikague vizuri au kama huwezi tafuta UV-tube light,zipo kkoo kwenye maduka ya vifaa vya umeme.
Utapeli-usiruhusu mteja ashike simu yako ya biashara,wengi wameibiwa kwa jinsi hii,kama mteja anataka kuweka pesa kwa simu yake mpe karatasi akuandikie namba.
Kurusha pesa-hairuhusiwi kuhudumia akaunti ambayo haipo hapo mbele yako,usiamini mtu anayesema simu yake ameacha nyumbani,hii itasababisha upigwe fine na mtandao husika.
Zingine wadau wengine watakujuza.