M-Power: Tunaomba utaratibu wa fixed deposit account, iwe miezi 3,6 au 12

M-Power: Tunaomba utaratibu wa fixed deposit account, iwe miezi 3,6 au 12

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
iitwe malengo akaunti,kama mtu ana buku,elfu kumi,laki,laki tano, milioni,hapo mtatunasa wengi,kuna wazazi wanataka kulipa ada,wakulima wenye nia ya kujiwekea wanunue zana za kazi,kiwanja,mtu anaweka bila kutoa,na anaweka kadri anavyopata,tafadhali Vodacom Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom