iitwe malengo akaunti,kama mtu ana buku,elfu kumi,laki,laki tano, milioni,hapo mtatunasa wengi,kuna wazazi wanataka kulipa ada,wakulima wenye nia ya kujiwekea wanunue zana za kazi,kiwanja,mtu anaweka bila kutoa,na anaweka kadri anavyopata,tafadhali Vodacom Tanzania