M-sure....

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Hivi M-sure maanake nini? Nauliza hivi kwasababu kuna vijana around my office wananiita m-sure hata around my neighbourhood vijana wengine wananiita m-sure. Ni vijana nimewazidi miaka 10 au 15 hivi.

Utawasikia m-sure mamabo vipi? Au m-sure heshima yako?

Enzi mimi nakua m-sure tulikuwa tunamuita baba. Sasa ina maana mimi nalingana na baba zao hawa vijana au m-sure ina maana gani? Im over 30!
 
we ni msure ila unataka sana kujichangana na watoto vijana!

wasure wengi huwa ata hawajijui kama wanaitwa ivo
Mimi sio mtu wa kujichanganya sana, sema vijana wananifahamu jirani yao.
 
M-sure
1.Una pesa ya kutosha.
2.Dressing code za kiβ€œfather”... Namna unavyotembea na kuongea kiβ€œfather”.
3.Mtu mwenye umri mkubwa unayeishi kama kijana wa makamo.
4.Mtu mzima unayependwa sana na vijana kutokana na lifestyle yako kuwavutia.
One of the above might be the answer.
 
3/4 correct.
 
mshua ni tajiri[emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…