mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Nimeenda Jamani..... Na nitakoma umbeya [emoji38][emoji38][emoji38]Ndiwooo
Akafuturu tuu jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeenda Jamani..... Na nitakoma umbeya [emoji38][emoji38][emoji38]Ndiwooo
Akafuturu tuu jamani
Ebu uko[emoji15] [emoji15]
Mbona amekujaaUnajua haaamini kama pm ipo wazi washazoea kufungiwa
Si Tumoo tuuKhaaaa sasa tumo nimewasiliana nae anitumie story
kweli umenogewa na rungu tamu kweliNatamani ungekuwepo muda huu, sasa hivi ninapokuangalia machoni naona njia ya ulimwengu ninayotaka niwepo
Walisema mapenzi haya hutokea mara moja lakini sikuamini mpaka muda nilipoona nimekupenda Mwifwa wangu!
Kama nimepata raha maishani mwangu ni kitu kimoja ningetaka kukibadilisha, ningekuwa nimekutana nawe tangu zamani. Mara zote unajua kunifanya nitabasamu hubby wangu hata wakati nimehuzunika.
Hakuna mwanaume duniani anayeweza kunielewa vizuri kama unavyonielewa wewe kipenzi changu, changuo langu mimi na mwanaume pekee wa maisha yangu, nahisi kukukumbatia kila wakati ninapoongea nawe,najisikia salama na amani ninapokuwa karibu yako. Nafurahia mapenzi yako zaidi kuliko mtu yoyote humu duniani, siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe yatakuwaje, marafiki zangu wananionea gere kuwa na mwanaume kama wewe unayejua nini thamani ya mwanamke!
Sifahamu umeniwekaje moyoni mwako lakini ninafurahi umenifanya hivyo na matendo yangu pekee yanaweza kuonyesha nijinsi gani ninavyokupenda hubby wangu Mwifwa !Nitakupenda leo na hata kesho Ahera
MfyuuuuuuKukuudhi na nn kuweka pm wazi au
KomaaaaNimeenda Jamani..... Na nitakoma umbeya [emoji38][emoji38][emoji38]
Mwenyewe na masuper glue yako!!Ebu uko
Nimeenda Jamani..... Na nitakoma umbeya [emoji38][emoji38][emoji38]Ndiwooo
Akafuturu tuu jamani
Yaan kiufupi nimeifungua ipo waziSi Tumoo tuu
Aiseee yaan huamini we si ujeMwenyewe na masuper glue yako!!
Hahaha hakuna pmMbona amekujaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16]Mwenyewe na masuper glue yako!!
Ni kweliLeo ipo waziiiii muulize tumosa
HayaYaan kiufupi nimeifungua ipo wazi
SawaHahaha hakuna pm
HawaaminiNi kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeenda Jamani..... Na nitakoma umbeya [emoji38][emoji38][emoji38]
Shauri yaoHawaamini
KwendraaaaaaaaaaaHahaha hakuna pm