Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ni furaha iliyojaa moyoni mwangu, kila nikifikiria namna nilivyokupata kwani sikutarajia kama ndoto yangu ya kupata mwanamke anayenipenda kama wewe.
Upendo wangu kwako moneytalk hauna kifani, laiti ningekuwa na uwezo nifunue kifua changu uone jinsi gani moyo wangu ulivyo na furaha na upendo juu yako ila hilo haliwezekani isipokuwa maneno na matendo yangu kwako yatadhihirisha hilo.
Nimekupenda, ninakupenda, nitaendelea kukupenda daima kwani nikiangalia mashariki na magaharibi, kaskazini na kusini sioni mwenye upendo kama wewe.
Wewe ni lulu kwangu mwenye thamani kubwa moyoni mwangu, nakutunza moyoni mwangu uketi upate furaha, faraja na upendo.
I LOVE YOU moneytalk