M to the P kashatua bongo

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Kwa sasa yupo njiani akielekea morogoro kwa gari kumzika rafiki yake mangwair. mia
 
"Wacha tule bata hata kama haupendi haukuwepo wakati nazisaka so usinipangie kuspend"-Ngwair
 
"Vipi DJ Haupigi hewani na unasikiliza ghetto hizi vocal demu wako chumbani anapigia ny**o Q ebu kata hyo instrumental kabla machiz hawajakuwa mamento"-Ngwair
 
sasa ni lipi lipo sahihi?? mara hana taharifa kama Albert kafariki, hapa yuko njiani kuelekea moro, lipi ni sahihi??????
 
Daaaaah katua bongo???????
Kama ni kweli ni vizur pia kama afya yake itakuwa imeimarika.......taswira ya mwenzie ingemsumbua pia asingemzika.
Mungu azid kuimarisha afya yko lakin pia safar njema.....mia!
 
sasa ni lipi lipo sahihi?? mara hana taharifa kama Albert kafariki, hapa yuko njiani kuelekea moro, lipi ni sahihi??????

mi mwenyewe wananivuruga tu maana nimetoka kuona picha za M to the P akiwa south africa na maggie hanlon
 
sasa ni lipi lipo sahihi?? mara hana taharifa kama Albert kafariki, hapa yuko njiani kuelekea moro, lipi ni sahihi??????
Taarifa za yeye kutokujua kifo cha Ngweir ni za jana jioni mkuu!!
 
sasa ni lipi lipo sahihi?? mara hana taharifa kama Albert kafariki, hapa yuko njiani kuelekea moro, lipi ni sahihi??????

mkuu sasa hivi mambo yapo kidigitali. mia
 
Daaaaah katua bongo???????
Kama ni kweli ni vizur pia kama afya yake itakuwa imeimarika.......taswira ya mwenzie ingemsumbua pia asingemzika.
Mungu azid kuimarisha afya yko lakin pia safar njema.....mia!

miss u sana mkuu. upo?.
pamoja sana!. mia
 
Eh mwacheni amzike rafiki yake
Msiba umenuma huu!! Basi tu Kazi ya ngu haina makosa
RIP Ngwair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…