Message yako ya mwisho kwenye simu inasemaje

Message yako ya mwisho kwenye simu inasemaje

Hivi Manjit! Ulimwagia ndani kweli!!![emoji837]
 
Umefikia kikomo au umesitisha malipo ya kadri unavyotumia. Tafadhali jiunge na bando lingine au ruhusu matumizi,Piga *149*01#>11 -Huduma Xtra>Matumizi bla Bando
 
"Hvi ww mwanaume kuna kitu unantafta eeh"

Nilitoa ahadi ya kununua nguo za watoto sas mishe zangu zimefeli [emoji134][emoji134]
 
OFA! pata gawio hadi la shi 10000 ukipokea kuanzia 200000 kutoka au zaidi kutoka benki yyte hhaaaa
 
Twende kazi leo tujue kama text huwaga zinafananaga angalau kwa watu kadhaa ama kuna watu wanatumiwaga text za kipekee, kila mtu angalau aseme text yake ya mwisho kuingia kwenye simu inasemaje iwe kwenye message za kawaida au Whatsap ili mradi iwe ya mwisho tu
Mimi yangu inasema " i miss you "
Bibie hatujapokea Mshahara bado na Bosi Kasafiri, hivyo ukija Kwangu Kesho kula Krismasi hakikisha Umeshiba utokako na Nauli pia unayo sawa?
 
Back
Top Bottom