Message yako ya mwisho kwenye simu inasemaje

Message yako ya mwisho kwenye simu inasemaje

CONGRATULATIONS! You WON Tzs86400 on MultiBet (BetID 8364). Tax Tzs5300. Winning after tax Tzs81100.
 
2ACADB47-EDBB-4478-BDC7-856A8D956CD7.jpeg


Asante kwa vocha, zawadi ya krismasi kutoka kwa Mr. Santa.

Kasinde.
 
Twende kazi leo tujue kama text huwaga zinafananaga angalau kwa watu kadhaa ama kuna watu wanatumiwaga text za kipekee, kila mtu angalau aseme text yake ya mwisho kuingia kwenye simu inasemaje iwe kwenye message za kawaida au Whatsap ili mradi iwe ya mwisho tu
Mimi yangu inasema " i miss you "

Yangu ni “good morning”
 
Umetoa TZS xxxxxx kutoka akaunti yako inayoishia xxxx Tar 31-12-2020 04:14. Toa pesa bila kadi katika ATM au WAKALA na NMB Mkononi *150*66# au App.
 
Nina changamoto siwezi kuongeza salio kwenye N card yangu inanipa message reference namba yangu ni batili. Msaada siwezi vuka Niko kigamboni siku ya pili
 
Back
Top Bottom