Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakula nn au PK ataendelea kuwalisha?Si nimesikia wamesema wameacha mapigano hawataki tena
Si washavuna sanaWatakula nn au PK atawalisha?
Labda PK atawawakilishaNi matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
HakikaNi matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Ni wamejiwekea Ceasefire yao binafsi huenda wanataka kusogeza silaha nzito kwenda frontline.Si nimesikia wamesema wameacha mapigano hawataki tena
Yote inawezekana wanacheza na akilNi wamejiwekea Ceasefire yao binafsi huenda wanataka kusogeza silaha nzito kwenda frontline.
Yeah. Huyo ndo boss wao.Labda PK atawawakilisha
CommanderYeah. Huyo ndo boss wao.
Kamwe hawawezi kualikwa!Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Hawa jamaa kamwe sio wa kuwachekea. Hiyo ceasefire inatambulika na nani??Ni wamejiwekea Ceasefire yao binafsi huenda wanataka kusogeza silaha nzito kwenda frontline.
Wanaalikwa kama nani?Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Wakialikwa inamaana wametambulika na kupewa hadhi ya kuwa ni nchi kamili. Haiwezekani. Acha PK atawasemea manake ndo de facto kamanda wao.Wanaalikwa kama nani?
Ceasefire sio jambo baya, sasa kinachotakiwa ni implementation ya makubaliano ya awali halafu swala la FLDR nalo lishughulikiwe ndio mzizi wa fitina.Hawa jamaa kamwe sio wa kuwachekea. Hiyo ceasefire inatambulika na nani??
Bosi wao PK atawawakilisha.Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi