M23 Washambulia tena Mji wa Sake

Pk akidondoshwa CONGO DR itapata kutulia. Shida sio WATUTSI kwa sababu hata BURUNDI watutsi wapo na kwa kiasi fulani amani ipo. Japo watutsi wana kasumba zao za kujiona wao ni wateule kuliko wengine. Nimeishi nao hawa jamaa wana kakujisikia mno. Hilo nalo ni tatizo.
 
Hao waasi wakubaliwe kuingizwa jesheni... Nadhan tutatatua mgogoro kwa kiasi chake
Hii haiwezekani kabisa. Hata PK jeshi lake top officers wahutu ni wachache mno. Na siku zijazo hata junior staffs jeshini kutakosekana mhutu hata mmoja. Mark my words.
Kuruhusu banyamulenge kwenye jeshi la FARDC ni sawa na kumruhusu KINANA kuwa KATIBU MKUU CHADEMA
 
Kipindi cha mobutu waliishi namna gani?

Aliwakandamiza kidikteta, ila sasa wameonja damu na wamejua kupigana, hata Mobutu afufuke leo na awe nguvu alizokua nazo, hawezi kuwadhibiti.
Wananchi kwenye nchi yoyote ukiwakandamiza hakikisha unaishi milele, usiache waje kujua kuwa na wao wana uwezo.
 
Aliwadhibiti wao tu au na wacongo wengine?.
Hoja yangu hapa ni kuwa ni kuwa watii sheria na taratibu za Congo.
 
Vita ya maslahi hii.

Tuwaombee raia
 
Unamaanisha nini Royal? pili uwe unasoma HISTORIAšŸ‘ˆ ya Jamii za Kiafrika kabla ya Mfalme Leopold kujitwalia hilo eneo na kuliita Congo Free State Wafalme wa Kitutsi wa Rwanda walikuwa wakilitawa eneo hilo naongelea eneo la Kivu.
German East Africa Rwanda ni moja na tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…