Chukua screenshot alafu upin kabisa. Wakitoboa 2026 yeye na group lake uje na wenzako wa idara yako nitawapa kiasi chochote nyie na familia zenu.Utasubiri sana Joselela, mpaka 2030 ni Samia tu
Dah!Mada yahusu M23, lakini comments za CCM. Hii nayo kali sasa.
Beberu hayupo pale kuilinda Congo,ni sehemu za madini tuu watakayochimba,Tshisekedi ni mwehu mwingine kama Mobutu na CCM, Africa tuna safari ndefu sana kwa akili za kipumbavu kama zako na SamiaHaya wale mabwege waliokuwa wanabeza hoja zangu kwenye ule uzi wao waje hapa wamwage povu:- Lord Denning, Fbn na pavel
Iongelee akili yako mbovu tu, sisi wengine tuko vizuriBeberu hayupo pale kuilinda Congo,ni sehemu za madini tuu watakayochimba,Tshisekedi ni mwehu mwingine kama Mobutu na CCM, Africa tuna safari ndefu sana kwa akili za kipumbavu kama zako na Samia
Hii ndio nguvu nyuma ya M23....About 7,000 Rwandan troops were present in Congo as of early December, with possible increases during the latest advance, according to U.S. representative Mike Waltz.
Ila mzee ulivyochenji gear angani inafurahisha,nahisi umekula teuzi mahala 😀Utasubiri sana Joselela, mpaka 2030 ni Samia tu
So ulikua mpingaji wa regime iliyopita kwa njaa zako tu,hata huyu bi mkuu akikukatia mrija utampingaUsiishi kwa kukariri, utaishia kuilaumu kila regime inayokuja.
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.Whether you like it or not, she is our defacto president. If it's painfull to you get some painkillers from a pharmacy shop in the neighbourhood
Na huko ndiyo chanzo cha yote haya tunayoyalalamikia kuhusu Reforms. Na aliyeharibu demokrasia na kutufikisha hapa pa NRNE ni nani? Aliyeharibu Mahakama zetu ni nani? Aliyetisha vyombo vya habari ni nani? Aliyeiba uchaguzi wa 2019 na wa 2020 wote ni nani?So ulikua mpingaji wa regime iliyopita kwa njaa zako tu,hata huyu bi mkuu akikukatia mrija utampinga