View: https://x.com/dr_dash250/status/1891461698176811367
Mwa huu una mapya.
M23 ikiwa Bukavu,imewaomba wakazi wa maeneo hayo kuhakikisha waliojihusisha na wizi wa mali za watu,wanarudisha kwa usalama wao. Raia wenyewe wanasonteana vidole, na vitu vinarudishwa.
Sasa jamani, nchi kama haina mwenyewe, unategemea nini! Mbabe ndo hivo. Mwanajeshi ilikuwa mkikutana, kitu cha thamani ulicho nacho unatoa, ukizubaa unalamba shaba.