MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Kundi la AFC/M23, leo 28 February 2025, limewatangaza viongozi wapya wa jimbo la Kivu kusini, ambao ni
• Bwana BIRATO RWIHIMBA Emmanuel, Gavana wa jimbo
• Bwana DUNIA MASUMBUKO BWENGE, Naibu gavana wa mambo ya siasa, uongozi na sheria.
• Bwana GISHINGE GASINZIRA Juvénal, Naibu gavana wa uchumi na maendeleo.
Viongozi wakuu wa AFC/M23 pia wamewatembelea majeruhi wa milipuko ya jana wakati wa mukutano wa hadhara, na wameahidi kugharamia mazishi ya waliopoteza maisha, kugharamia matibabu ya majeruhi wanaonendelea na matibabu, na kusaidia familia zao kuendesha maisha ya kila siku wakati hawa wote wakiwa bado mikononi mwa wahudumu wa afya.