Kibela
Member
- Mar 21, 2012
- 58
- 10
Kuna bank flani hv nilikopa mshiko sasa nimelipa hadi nusu hivi, sasa nimeenda bank kuchukua letter of settlement cha kusikitisha ni kwamba wamenipiga fine zaidi ya 800, 000 nashangaa hyo fine ya nini wakati interest yao yote nimelipa? ebu wadau nifumueni hapo. Deni nalilipa lote pamoja na interest kwanini wanipige fine ya laki 8 kwa sababu nimelipa mapema?