fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 657
- 710
Kama kichwa cha uzi kinavosema. Usasa na utandawazi umewafanya watu kua open sana.
Usikute huyo mchumba wako akiwa serious kuolewa na wewe anawaaga ma boyfriends wake kiroho safi na kuwaelezea kua mi ndio naolewa ila urafiki wetu ubaki(kwa akili za wanawake) so sababu na wanaume wa kisasa wapo open minded wanakubali na kuwish her good na kuahidi hata michango kutoa,the bond is soo strong for them.
Wakaachana kiroho safi na nyie mkaoana. Ndoa tamu kila mmoja kisha move on mnapendana kinoma ila kaa ukijua wewe Mume upo kwenye huruma ya wale wanaume wake wa mwanzoni kama wale wakiheshimu ndoa yake basi upo salama na kama wale wasipoheshimu basi ni rahisi kumteka kihisia na mke wako anakua very comfortable kufunga mambo yake personal kuhusu wewe kwa wale. Have a good day fellow comrades 🫡