Ma celebrities wa ulaya (marekani)...!!!

Ma celebrities wa ulaya (marekani)...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salaam,
leo nilikua naangalia youtube compilation ya ma celebs wanapo wa surprise mashabiki wao either kutokea nyumbani kwao au kuibuka ghafla kwenye talk shows. Nimejikuta napigwa na butwaa nilipoangalia clip ya Justin Bieber alivyokua anawasurprise watu, yaani unakuta mtu analia utadhani kafiwa na mama yake mzazi. Its really amazing ukiangalia unaona hii furaha ni genuine kabisa. Sasa nikawa najiuliza, hivi mbona ma celebs wetu wakibongo hawana msisimuko kwa fans wao. Au pengine tunawaona sana mitaani ndio maana tunawazoea? Huwezi ukakuta mbongo analia hadi anapoteza fahamu kisa msanii fulani amemsuprise kuja kwake,sana sana atapiga picha afanye uploading insta na facebook bhaasi. Whats wrong with our celebs? check this video niliyokua naiangalia:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom