Ma Dj Uganda waungana kushinikiza kuachiliwa Bobi Wine

abackuk

Senior Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
194
Reaction score
190
Umoja wa ma Dj nchini Uganda wameafikiana kupiga nyimbo za mwanamuziki BOBI WINE kwenye kila dakika 15 za baada ya kamili ya saa kushinikizwa kuachiwa kwake
Source:
Ukurasa wa television ya Nbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kupiga mziki wake kutasaidia vipi kumtoa jela
Tena sana sana atapewa uzezeta huko huko jela!
Siku hizi mbinu ni nyingi sana!
Siasa zina wenyewe walahi!
MAANA UNAAMKA MZIMA UNALALA KILEMA!
That’s all
 
Bobi Wine should have anticipated this ! His popularity in music does not warranty smooth ride in Ugandan politics ! He should have knwon that being popular in that country makes them vulnerable when they enter main stream politics ! Yes it is his consitutional right to join and play politics but there is a cost to it ! Those DJs are just wasting their time and even risk being stripped off of their licenses to do what they do. Pole sana
 
Africa Ukitaka shida na serikali basi we kuwa mpinzani
 
Akili zako za kuvukia zebra cross mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…