Ma-DJ wa Enzi zetu za 1990

Kwa sasa Michuzi si mtata Kama kipindi kile
 
Hotel 77 Arusha enzi hizo kulikuwa na totoz wa kishua wakali kinoma pia majimama wanaopenda mabrazamen. Yuko wapi Elisante jamaa alikuwa na mavumba hatari anaingia kiwanja na totoz hadi wa3 anawala hadharani duuuuuh
Ngoma Itakuwa ishaambaa nae huyo
 
Wazee wasasa vjana wa zamani, mlitisha. Sisi now tunajikuta kumbe nyie mlianza 90😂
 
Sammy Cool na Jimmy to London (James Kulanda).
 
Ulivyomalizia na Mpigapicha asiye na mpinzani mpaka leo

Umenitia mashaka kwenye hayo yote ulitosema hapo juu kuna uwezekano mkubwa sio ya KWELI pua
 
Kudadadeki simjui dj hata mmoja hapo..
Seriously huipendi kazi yako....maana if was real love and feeling your job hapa lM unge dig history ya game kwa uchache hapa kwetu. Mm sio DJ lkn almost Madj wote hao nimewasikia na among nimecheza madisco yao.
 
Inaonekana umejirusha sana kwenye maclub na kumbi za starehe
 
Thanks for the memories, japo DJs walikuwa wakihamahama wengine wana kumbukumbu za very same DJs ila kwenye different clubs.
Kumbukumbu zako ni [emoji817][emoji3581].
Hiyo ni back in the days.
 
90's was the best decade to grow up in
Vijana wa 2020 hawawezi kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…