Ma "file" ya zamani ya mwenza wako!

nje ya mada,, unakutana na mtu alf anakuuliza ushadate wanaume/wanawake wangapi? sa sijui anategemea umwambie nimedate nao elf buku

anyway mi huwa naanzia hapo tulipo kutana, yaliyo pita si ndwele
 
Kama mafaili haya husiani na kashfa za kupigwa mtungo au kuliwa boga kusagana, utoaji wa mimba na kufumaniwa au kaanza kulombwa toka utotoni wizi na tamaa basi unaweza mpa nafasi uendelea nae hasa wenye mvuto kama huyu
 

Attachments

  • masinga.lena_b82f311a5dad4029bb7572384bc625ef.jpg
    126.1 KB · Views: 28
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…