Ma "file" ya zamani ya mwenza wako!

Asipokuwa flexible bado kichwa hikohiko kitakwambia huyo ni gogo hautafaidi ndani.

Utasemaje?
 
Usioe urembo wake,wanawake wazuri wapo vijijini,hawajawahi kutumika na mitandao hawaijui.
Nenda basi.mbona umepost love connect unatafuta mke..
Si uende huko kijijini?

Huko kijijini kwenyewe ni moto
Historia ya mtu ni ya mtu haiangalii mazingira
 
Asipokuwa flexible bado kichwa hikohiko kitakwambia huyo ni gogo hautafaidi ndani.

Utasemaje?
Ukiwaza kwa kutumia kichwa cha chini kweli utasema hili ni gogo.

Na hapa ndipo walipo vijana wengi, huoa kwa sababu ya fantasy fulani wasijue maisha ni zaidi ya kufanya ngono.

Bora utulie na ka mama mchungaji kamoja, nyie kila siku mnapiga zenu missionary saaaafi
 
Tupo stage ya uchumba connection yake inavuja na mimi nakaza namuweka ndani? Kila napopita watu wanaambiana unamuona yule jamaaa kamuoa yule demu wa yudizm mwenye nani ya tewa.
Hiyo ni exclusive sio past 😹😹😹

Miaka ijayo unafikiri hakuna mwamba ataiweka ndani chuma ile?

Kosa la yule kujirekodi lakini kuna watu wana mambo ya ajabu ni vile yapo sirini..!!

Kuna watu wameoa wanawake hawana bikra zote na maisha yanaendelea..!!
 
Na imagine siku niolewe halafu jamaa mafile yabumburuke alikuwa mmojawapo na wale wenye jezi ya yanga Oct 29

Halafu akiri..walhi asinijue
Aisee asinijue
 
hapo tatizo ni ushahidi wa moja kwa moja .. angekua na uvumilivu kama angekua ana kisia tu kwamba huyu dem atakua alikua na maisha ya hivi na hiv .. kama ilikua s bikra ... ila uvumilivu utashindikana baada ya kupata shahid za video .. na tatizo litakua kubwa kama ni kwa watu wengi .. hamhukumu kwa yaliyo pita bali ingekua ni rahisi kuhimili kwa kudhan tu ila kwa ushahidi kabisa wa video tena ni watu wengi ni ngumu kuhimili.
 
Hongera mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…