Ma "file" ya zamani ya mwenza wako!


Mfano kama yule ndo mshafika stage nzuri mpo kwenye send off yake session ya kumtafuta bwana harusi, we ndo bwana harusi mtarajiwa umejificha mara paaah mkeka huu watsup kitu HD live bila chenga, utaendelea?

NB: No malice intended.
 
Past ni muhimu izingatiwe ukijua Kwa ushahidi achana na huyo mtu. Yaani Historia huamua hatima yako., asilimia 90 ya wanawake au wanaume wanao chepuka hiyo tabia haijaanzia ndani ya ndoa, hayo ni mzoea yake ni tabia yake
 
Kila mtu ana past yake,,, mi naangalia hapa na mbele huko nyuma naachia wapenzi watazamaji.
Siachi mtu kisa mambo ya nyuma
Mada inawahusu zaidi wanaume, kwa wanawake inajulikana kama financial security ipo past ya mwanaume huwa hamna time nayo labda kama alikua *****
 
Sasa si umeshasema ya zamani!
Kila mtu ana ukurasa wake wa zamani, katika kitabu chake cha maisha.
Muhimu ni kuendelea pale mlipokutania.
Past ya mwanamke huwa inaacha madoa sugu mkuu. Halafu hapo unakuta alishakwambia wewe ni wa pili kwake na hajazaa. Unaletewa mafile kumbe demu chama la wana na ana mtoto kamficha kijijini uko kwa bibi ake.
 
Haujui uzito wa hayo mafile aliyotumiwa kwaiyo usijione una busara sana, lahiti huyo Ali kamwe angekua kaka ako usingechulia kirahisi rahisi tu. Kila siku tunasema humu past ya mwanamke inazingatiwa sana na wanaume.
 
Watu na mbinu zao kujua wadangaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ