Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 271
For sure mi nimefanya sana na Mahaus gel yaani nkumbuka kama watatu hv ndo walionifunza huu mchezo mbaya na nawakumbuka wote.Thanks for welcoming me in this good world.
Ellia,
Hawa wadada ni wa muhimu sana katika maisha yetu maana bila wao mambo ni magumu, wanatutunzia watoto, kuwapeleka shule, kuwapikia/kutupikia, kutufulia na mambo mengine mengi sana. Kiukweli mim huwa nachukia na kushangaa watu wanaonyanyasa hawa wadada na kuwapa mshahara wa 10000 ni mbaya sana umakabidhi nyumba na watoto wako wa thamani kuliko chochote lakini anaambulia mshahara wa 10000.
Hebu tuwafikirie angalau kidogo wadada wetu wa nyumbani tuongeze mshahara na upendo kwao.
Ni watu wa muhimu sana.
Nawapenda na kuwaheshimu wadada wote wa nyumbani asanteni kwa kututunzia watoto na nyumba. Mungu awabariki sana wadada.
DA
Mimi natamani kuwe na mahali ambapo hawa watumishi wa ndani watasemea shida zao,
Kuna watoto wanaonewa lakini hawazijui haki zao, wala hakuna wakuwasikiliza.
Ukiangalia hata huku jamvini, ishu yoyote inayomhusu House girl watu engi wanakuwa na mawazo machungu na makali kwa house girl.
Utasikia FUKUZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA, wakati huo eti ni baba mwenye nyumba ametembea na house girl halafu anapojidai anataka kuirudia ndoa yake sijui kuiokoa, utasikia fukuzaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Mmmmmm nafikiria sana juu ya kuwafanya hawa watu wazijue haki zao.
tangu desemba mwaka jana dada yangu anatafuta housegerl amekosa, wamekuwa wa shida sana, tangu lowasa aje na mpango washule za kata basi ni tabu sana aliyefel la saba atakuambia nasubiria second selection kazi kweli kweli, tulipokuwa tunategemea Iringa dodoma singida na kwingneko hawapo na ukipata wamepanda bei sana! kama unae shukuru mungu na mtunze vizuri zaidi ya mwanao
kama utafikiria kumtesa/kumnyanyasa kumbuka kisa cha yule aliyemfungia mtoto mchanga knye frige akafa na kuwa barafu.
Kweli DA, hivi vi msimbazi msimbazi tuviache jamani, tuwape misimbazi kadhaa. Ndio maana ma House girl wengi wanaamua kujiongezea kipato kwa muuza genge mtaa wa pili
Mwanangu hapo penye nyekundu!!, mmh!!! Je pia alikufundisha na ukakamavu wa naniiiiii??????, tehe tehe tehe tehe!!!! Kweli ulipata hausi gero mzuri na inavyoonekana ulikuwa ukiombea baba na mama wasiwepo nyumbani ili ufundishwe!!!!!
Wa kwangu kanitolea mpya jana: Nilimwambia alete fundi afungue kitanda double decker toka chumba kingine nyumba ndogo, akakifunge chumba kingine nyumba kubwa. HG kaleta fundi, kafungua kitanda, wakakiweka nje na fundi kakikata vikatoka 2 kwa maelekezo ya HG. Kimoja kikawekwa kule nilikosema kifungwe, kimoja kaacha kule kule kilikokuwa chote! Hahahahah! wana kazi nyingi maskini, hata unapofikiri ana ufahamu mkubwa, bado mambo mengine atafanya kama HG tu. Kwa sasa anasoma namchukulia kama mdada mwenye upeo mkubwa wa kuelewa. Mungu awabariki kweli kweli!
Kwa kweli maana!!!!!!!!:A S 13:.Angalia tu asije akafanya mpaka zile huduma za mke wako kwako....:rain:
duh sio wote wa kupongezwa mm kunaambae nimemtoa alivuta afya akapendeza nikienda kazini anajipodoa naye anatoka anaenda kugig gig mpk basi