dada yangu usipanic kwa kuhisi kumuita mpenzi wangu kimeo ni tusi hiyo ni romantic language yetu kama ninyi mnavyoitana sweet, honey nksasa kama ni "kimeo" ulitaka iweje?
Wanaume wengine nyie hovyo kweli, ungekua unajiamini ungekua unamwita hivyo mkiwa pamoja badala ya kujishebedua hapa jf alafu ukirudi uraiani unachapia na mpenzi mara sijui sweetie.
Siwezi kupanick kwa affair zisizonihusu. Nwy nywele zimeshachanwa sasa amua kusuka ama kunyoa.dada yangu usipanic kwa kuhisi kumuita mpenzi wangu kimeo ni tusi hiyo ni romantic language yetu kama ninyi mnavyoitana sweet, honey nk
welcome to 21 century
dada yangu usipanic kwa kuhisi kumuita mpenzi wangu kimeo ni tusi hiyo ni romantic language yetu kama ninyi mnavyoitana sweet, honey nk
welcome to 21 century
hahaha mwengine...jamani vijana jueni kabisa kuwa k sio yako peke yako kaa mkao wa kula k na kusepa any time
Sasa kama ni "kimeo" ulitaka iweje?
Wanaume wengine nyie hovyo kweli, ungekua unajiamini ungekua unamwita hivyo mkiwa pamoja badala ya kujishebedua hapa JF alafu ukirudi uraiani unachapia na mpenzi mara sijui sweetie.
Asilimia 95 ya the so called "wanawake wa maofisini" regardless ana cheo gani wanafanya ngono na wafanyakazi wenzao wa kiume... Kwahiyo CTU, piga moyo konde, maisha ndivyo yalivyo...
Source: Mimi mwenyewe - baada ya kuafanya utafiti wa miaka 20!
loh..... kwaio huyo demu wako kaja kbs kukuambia kuwa nimemegwa na bosi ndio nimepata kazi?kiukweli asilimia kubwa ya ma HR wa maofisini (SIO WOTE) hasa wa kiume wana tabia moja mbaya sana ya kukagua dada zetu hadi kimwili ndio sawa ana shida lakini sio vizuri kuchukua hiyo advantage kwa kuwaharibu watoto wa watu ninaongea hivi kwa hasira coz wameshanimegea kimeo changu juzi kati inauma sana kwakweli